Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w85 12/1 uku. 32
  • ‘Laiti Ningalikuwa Nacho Miaka 70 Iliyopita’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Laiti Ningalikuwa Nacho Miaka 70 Iliyopita’
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
w85 12/1 uku. 32

‘Laiti Ningalikuwa Nacho Miaka 70 Iliyopita’

Hivyo ndivyo alivyosema mwanamke mzee-mzee juu ya kitabu Kupata Faida Zote za Ujana Wako. Yeye aliandika hivi: “Muda fulani uliopita niliagiza na kupokea kwenu nakala ya kitabu Kupata Faida Zote za Ujana Wako. Ni kitabu kizuri wee! Laiti ningalikuwa na kitabu cha namna hiyo miaka sabini iliyopita nilipokuwa kisichana chenye kukua! Kitabu hicho kinaendelea kutumiwa hapa, lakini sasa mimi nawapelekea hundi katika bahasha ili nipate nakala nne wapelekewe wajukuu wangu wanaoishi mbali nami.”

Wewe, pia, unaweza kupokea kitabu hicho cha mkononi kinachowafaa vijana kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyo hapa chini.

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, kile kitabu chenye jalada gumu cha kurasa 192 kinachoitwa Kupata Faida Zote za Ujana Wako. Mimi nimewapelekea Kshs. 15.00 (Tshs. 40.00 au RWF 100).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki