Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w86 1/1 uku. 32
  • Kuvumilia Mkazo Unaozidi Nguvu za Kibinadamu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuvumilia Mkazo Unaozidi Nguvu za Kibinadamu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
w86 1/1 uku. 32

Kuvumilia Mkazo Unaozidi Nguvu za Kibinadamu

Je! wewe unahisi hivyo? Watu wengi wanahisi hivyo. Nao wanasaidiwa kwa kujua jinsi ya kupambana na mkazo wenyewe. Mwanamke mmoja wa Bettendorf, lowa, anaandika kwamba yeye anawasimulia watu anaojifunza nao Biblia mambo yaliyoonwa katika Kitabu cha Mwaka, “kuwasaidia waone kwamba ‘mambo ayo hayo kwa namna ya mateso yanatimizwa katika ushirika mzima wa ndugu zenu ulimwenguni.’”​—1 Petro 5:9, NW.

Soma Kitabu cha Utendaji 1986. Kinaweza kukusaidia uwe imara kwa ajili ya uadilifu na kufurahia kufanya hivyo. Kina ripoti zenye maelezo mengi juu ya utendaji wa Mashahidi wa Yehova katika Ujeremani, Ufilipino na Zimbabwe. Pia kina habari zinazoonyesha matukio ya kisasa ya kazi yao ulimwenguni pote.

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, Kitabu cha Utendaji 1986, chenye jalada gumu na kurasa 256. Mimi nimewapelekea Kshs. 20.00 (Tshs. 60.00)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki