Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w86 4/1 uku. 32
  • Mwanamke Huyu Hakuamini Angeweza Kukifurahia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mwanamke Huyu Hakuamini Angeweza Kukifurahia
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
w86 4/1 uku. 32

Mwanamke Huyu Hakuamini Angeweza Kukifurahia

Mwanamke mmoja wa Pennsylvania aliandika hivi: “Kama ningaliambiwa na mtu ye yote kwamba ningeweza kusoma kitabu juu ya mageuzi na niweze kukifurahia kweli kweli, mimi ningalisema, ‘Hapana mara elfu!”’ Hata hivyo, baada ya kusoma kitabu Life​—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation?, ambacho kina picha za kupendeza sana, mwanamke huyo aliongeza hivi:

“Ninyi mmeeleza kwa maneno rahisi jambo ambalo limenitatiza maisha yangu yote. Kitabu hiki kimeandikwa kwa njia inayokusudiwa kuvuta watu walio na hali nzuri ya moyoni, wawe ni waamini-mageuzi au waamini-uumbaji. . . .

“Nakumbuka nilijifunza baadhi ya mambo yaliyotokezwa humo katika darasa la Sayansi na Bayolojia, lakini si kwa kadiri ambayo ningeweza kusitawisha uthamini kwa ajili ya Muumba wetu. Nilifurahia hasa zile sura zinazosema ‘Ulimwengu Wetu Mkubwa wa Kustaajabisha Sana,’ ‘Ubuni wa Ajabu Sana wa Vitu Vilivyo Hai,’ na ‘Aliyekifanya Kwanza Ni Nani?’”

Unaweza kupokea kitabu hicho kikubwa, chenye kurasa 256, kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyopo chini pamoja na mchango wa Kshs. 35.00 tu (Tshs, 100.00 au RWF 250).

Tafadhali nipelekeeni, mkiwa mmelipa malipo ya posta, kile kitabu kinachoitwa Life​—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? Mimi nimeipelekea Kshs, 35.00 (Tshs. 100.00 au 250).

[Picha Credit Line katika ukurasa wa 32]

NASA photo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki