Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w86 5/1 uku. 30
  • Dalili ya Kuharibika kwa Maadili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Dalili ya Kuharibika kwa Maadili
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
w86 5/1 uku. 30

Dalili ya Kuharibika kwa Maadili

WACHUNGUZI wa taabia za kijamii wanasema kuna mambo mbalimbali yanayofanya maadili yazidi kuharibika leo. Lakini, Cunningham Geikie mwanachuo wa Biblia wa karne ya 19, alionyesha kwa usahihi kabisa kile kinachopasa kulaumiwa. Yeye aliona upesi kwamba “ni ukweli wa daima kwamba tabia ya dini ya taifa ni dalili ya kuonyesha afya na nguvu zilizo katika taifa hilo.” Jambo la kupendeza ni kwamba, Biblia Takatifu inaonyesha dini ya uwongo ikiwa kama kahaba mwenye jina la kumtambulisha katika kipaji cha uso—‘Babuloni Mkuu.’ Katika mkono wake ana kikombe cha dhahabu kilichojawa na machukizo na machafu ya uasherati wake. Kwa wazi ni hali ya dini ya uwongo ya Kibabuloni iliyo dalili ya kweli ya kuonyesha ukosefu wa adili wenye madhara na uovu wa kushtusha uliopo leo.—Ufunuo 17:1, 2, 4, 5, 15.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki