Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w86 11/1 uku. 32
  • Faraja Katika Nyakati Zenye Majaribu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Faraja Katika Nyakati Zenye Majaribu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
w86 11/1 uku. 32

Faraja Katika Nyakati Zenye Majaribu

Hilo ndilo jambo ambalo wengi sana kati yetu tunahitaji. Mwanamke mmoja kutoka Ohaiyo anaeleza mahali alipopata faraja hiyo:

“Ninajisikia nikilazimika kabisa kuwaandikia nionyeshe shukrani zangu kwa ajili ya Maandiko yaliyorekodiwa katika tepe ambayo ninafurahia leo kwa mara ya kwanza.

“Sijapata kamwe kuwa na mtu ye yote wa kuketi na kunisomea Biblia kwa utulivu akiwa kama mama mwenye upendo. Si ajabu kwamba watoto wanapenda kusomewa! Biblia inatufariji sana, kututuliza, na kutuondolea mashaka katika nyakati hizi tunazoishi ambazo tunaihitaji sana.

“Tafadhali pokeeni shukrani zangu za moyoni kwa kutoa msaada huo unaokaribishwa sana.”

Mwanamke huyo alikuwa amepokea kaseti zilizorekodiwa maneno ya Biblia ya New World Translation of the Holy Scriptures, ambazo sasa zinapatikana zikiwa katika pakiti yenye kuvutia ya rangi ya kahawia. Pakiti hiyo, ikiwa kamili pamoja na “Agano Jipya” (kaseti 18), ni Kshs. 450.00 (Tshs. 1,350). Pakiti mbili za “Agano la Kale” zinapatikana pia, ya kwanza ikiwa na Mwanzo mpaka Ruthu katika kaseti 18 nayo ni Kshs. 450.00 (Tshs. 1,350.00); ile pakiti ya pili ina kaseti 21 zenye 1 Samweli mpaka Zaburi na inagharimu Kshs. 532.00 (Tshs. 1,596.00).

Tafadhali onyesha kwa kutia alama katika visanduku hivi mbalimbali ni pakiti gani za kaseti unazotaka, na utupelekee kiasi cha pesa zilizoonyeshwa.

[ ] Nimewapelekea Kshs. 450.00 (Tshs. 1,350.00) kwa ile pakiti ya “Agano Jipya” kwa Kiingereza.

[ ] Nimewapelekea Kshs. 450.00 (Tshs. 1,350.00) kwa ile pakiti ya Mwanzo mpaka Ruthu katika Kiingereza.

[ ] Nimewapelekea Kshs. 532.00 (Tshs. 1,596.00) kwa ile pakiti ya 1 Samweli mpaka Zaburi, katika Kiingereza

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki