Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w87 10/1 uku. 32
  • Je! Mtoto Wako Wewe Ana Andikisho la Kibinafsi?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je! Mtoto Wako Wewe Ana Andikisho la Kibinafsi?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
w87 10/1 uku. 32

Je! Mtoto Wako Wewe Ana Andikisho la Kibinafsi?

ILI kusitawisha katika watoto wao tamaa ya kujifunza, wazazi wenye hekima wanafanya vitabu vizuri viwe vyenye kupatikana na watoto wao kwa utayari. Kwa mfano, wengi wanahakikisha kwamba watoto wao wana andikisho la kibinafsi kwa jarida lile la Kibiblia Mnara wa Mlinzi, ambalo linatumiwa kama msingi wa mazungumzo ya kila juma ya Biblia kwenye mikutano ya Mashahidi wa Yehova. Lakini ni kwenye umri gam mtoto anapaswa kuandaliwa andikisho la kibinafsi?

Mapema kidogo mwaka huu barua inayofuata ilipokewa kutoka kwa mama mmoja: “Andikisho hili ni kwa mwana wetu mwenye umri wa miaka miwili. Wakati wa Funzo la Mnara wa Mlinzi, ni lazima yeye awe na nakala yake mwenyewe. Mimi nimejaribu kumpa yeye gazeti jingine wakati ambapo sisi hatukuwa na nakala ya ziada, lakini yeye angeona kwamba picha zile hazikulingana, na alitaka toleo ambalo sisi tulikuwa tunatumia. Mimi nina uhakika zile picha za rangi zenye kupendeza zinavuta hata mtoto mdogo na zitasaidia uthamini wake wa mapema juu ya chakula cha kiroho ambacho yeye hawezi bado kufahamu.”

Kwa sababu gani usihakikishe kwamba kila mmoja wa watoto wako wewe ana andikisho la kibinafsi kwa Mnara wa Mlinzi Pokea andikisho kwa mwaka mmoja kwa kujaza na kupeleka hati yenye anwani iliyoambatanishwa, pamoja na Kshs. 65.00 (Tshs. 180.00).

Tafadhali mnipelekee Mnara wa Mlinzi. Mimi nimewapelekea ninyi Kshs. 65.00 (Tshs. 180.00).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki