Fanya Usomaji wa Biblia Uwe Wenye Kujaa Maana Zaidi
New World Translation of the Holy Scriptures —With References kwa kweli inafanya hilo.
Msomaji mwenye kuthamini aliandika hivi karibuni kuhusu New World Translation Reference Bible: “Hiyo ni jibu kwa sala zangu. Wakati mimi ninapofanya usomaji wangu wa Biblia, mimi huchunguza mengi ya marejezo. Hayo hunisaidia kuona kanuni nyingine za maana ambazo zinahusiana na simulizi hilo. Kwa hakika hiyo inapanua ufahamu wangu, na mimi ninaweza kufanya utumizi bora wa kibinafsi.”
Kichapo hiki chenye elimu nyingi kimefungwa kwa jalada gumu lenye kupendeza la rangi kahawia nyekundu-nyeusi na kina vielezi vya chini zaidi ya 11,000, na konkordansi kubwa, na ramani nyingi. Ni Kshs. 145/- tu.
Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia gharama ya posta, New World Translation of the Holy Scriptures—With References. Mimi nimewapelekea Kshs. 145/-; (Tshs. 540/-).