Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 2/1 uku. 32
  • Maarifa Ambayo Yanaleta Amani ya Ndani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maarifa Ambayo Yanaleta Amani ya Ndani
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 2/1 uku. 32

Maarifa Ambayo Yanaleta Amani ya Ndani

Mwanamke kijana kutoka Ohio, U.S.A., anaandika hivi: “Mimi nililelewa nikiwa Mkatoliki, nikahudhuria kanisa la Kimethodisti nilipokuwa katika koleji, nikafanya matembezi ya kirafiki na mvulana Myahudi, ndipo nikaolewa na Mlutheri. Mimi sikuwa kamwe mwenye furaha na yo yote ya dini hizi ambazo ziliendelea ‘kubadilika-badilika kulingana na wakati? Mimi nilianza kusoma kile kitabu Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani, kwanza nikiwa ninasita-sita na kuvutiwa na zile picha za kupendeza. Akili zangu zilivutwa sana nami nikasoma kwa hari ile nusu ya mwisho katika muda wa saa nne.”

Sasa mwanamke huyo anasema yeye anapigia Mungu asante “kwa ajili ya maarifa mapya yangu na amani ya ndani.” Sisi tunahisi kwamba wewe pia unaweza kunufaika kutokana na kichapo hiki chenye kuimarisha imani. Hicho kinazungumzia karibu kila fundisho lenye kubishaniwa la Biblia, kikikusanya pamoja ithibati kwa njia fupi sana yenye kueleweka hivi kwamba jibu linakuwa wazi kwa msomaji. Zile kurasa 256 za kitabu hicho, ambazo ukubwa wazo ni sawa na kurasa za gazeti hili, zimejawa na picha za mafundisho zaidi ya 150, nyingi yazo zikiwa katika rangi za kupendeza. Ni Kshs. 40/- (Tshs. 150/-;RWF 250) tu.

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, Unaweza Kuishi Paradiso Duniani. Mimi nawapelekea Kshs. 40/- (Tshs. 150/-;RWF 250).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki