Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 2/15 uku. 32
  • “Hii Ni Faida kwa Mwalimu!”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Hii Ni Faida kwa Mwalimu!”
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 2/15 uku. 32

“Hii Ni Faida kwa Mwalimu!”

Msimamizi wa ldara moja kwenye shule moja katika Durban, Afrika Kusini, alisema kwamba yeye husoma kwa ukawaida Amkeni! Kwa sababu ya thamani ya kielimu ya gazeti hilo kuhusu habari nyingi sana, yeye aliuza kama angeweza kupata gawio la mwaka mmoja. Wakati yeye apoletewa buku lililojalidiwa la Amkeni!, yeye apaaza sauti kwa mshangao: “Hii m faida kwa mwalimu! Mimi mtaambia walimu wangu wote kwamba hiki ndicho kitu ambacho kila mmoja wao anapaswa kuwa nacho katika maktaba yake.”

Mwanamume huyo aliomba kwamba mwishoni mwa kila mwaka, buku lililojaladiwa la magazeti hayo liletwe kwake. Wakati alipoambiwa kwamba mabuku hayo ni dola 6, yeye apaaza sauti kwa mshangao: “Hiyo ni bei nafuu sana kwa kulinganishwa na zile makala zote nzuri ajabu zilizomo! Zile zinazohusu kushughulika pamoja na watoto na jinsi ya kuwasiliana pamoja nao ni zenye msaada kweli kweli. Kwa kweli, makala zote ni zenye kuarifu na zinapendeza kuzisoma’.”

Sasa lile buku lililojaladiwa la 1987 la Amkeni! (Kiingereza) linapatikana, na pia hle buku lililojalidiwa la Mnara wa Mlinzi (Kiingereza), ambalo ni gazeti-jenzi la Amkeni! Pokea mabuku yako kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyo hapa chini.

Tia alama katika kimoja cha visanduku hivi, au vyote viwili, na utupelekee mchango unaofaa.

[ ] Tafadhali mnipelekee lile buku lililojaladiwa la 1987 ] la Amkeni! (Kiingereza). Mimi nawapelekea ninyi Kshs. 96/- (Tshs. 360/-;RWF 600).

[ ] Tafadhah mnipelekee lile buku hlilojalidiwa la 1987 la Mnara wa Mlinzi (Kiingereza). Mimi nawapelekea ninyi Kshs. 96/- (Tshs. 360/-;RWF 600).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki