Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 7/15 uku. 32
  • Kitabu Kinachoshuhudia Uumbaji

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kitabu Kinachoshuhudia Uumbaji
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 7/15 uku. 32

Kitabu Kinachoshuhudia Uumbaji

Mwanamke kijana ambaye alikuwa amehudhuria koleji katika lowa, U.S.A., anaandika hivi kuhusu mmoja wa walimu wake: “Ningeweza kukumbuka njia ya mwanamke huyo ya kufundisha juu ya elimu ya mwili wa mwanadamu na fisiolojia ya mwili. Yeye aliitikadi juu ya Muumba kwa nguvu, lakini maswali ya mageuzi yangeulizwa na wanafunzi.”

Wakati huyu aliyekuwa mwanafunzi alipopokea nakala ya kitabu Life​—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? alifikiria mwalimu wake na akampelekea nakala moja. Mwalimu alimwandikia:

“Nimekaribia nusu ya kitabu kile, na kama nilivyotuhumu, ndiyo aina yenyewe ya habari zenye marejezo ambayo nimetamani mara nyingi kuwa nayo ili nitegemeze itikadi zangu. Kwa kauli yangu, ni bora sana! Kimetolewa katika njia nzuri sana na pia kuandikwa katika njia nzuri sana. Utafiti wote ambao mara nyingi nimetamani ningekuwa na nafasi ya kuufanya au mtebuko wa kuufanya umefanywa kwa ajili yangu! Pia, inanipendeza kwamba ulijua kwamba ni aina ya kitabu ambacho ningependa kuwa nacho. Asante sana!”

Labda wewe pia ungefurahia kuwa na kichapo kinachoshuhudia vizuri uumbaji. Unaweza kupokea Life​—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyopo chini na kutia ndani Kshs. 40/=; Tshs. 200/=;

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki