Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 8/15 uku. 32
  • Walishangaa Kuona Mimi Nikiyasoma

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Walishangaa Kuona Mimi Nikiyasoma
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 8/15 uku. 32

Walishangaa Kuona Mimi Nikiyasoma

Kijana mmoja kutoka Ufilipino anaandika hivi: “Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika shule ya sekondari na mimi ni Mkatoliki mwenye juhudi. Wakati rafiki aliponijulisha kwa Amkeni! na Mnara wa Mlinzi, mimi niliyakubali. Nayapata kuwa ya kupendeza sana hata ingawa yanatangazwa na Mashahidi wa Yehova. Nilipokuwa nikiyasoma katika darasa letu, wanadarasa wenzangu walishangaa, kwa kuwa mimi ni Mkatoliki. Niliwapa wanadarasa wenzangu moja, nao pia wakalipenda. Gazeti hilo lilimfikia pia mwalimu wangu wa dini, na mwalimu huyu akaonyesha kupendezwa, kwa kuwa lilishughulikia matatizo ya kiadili ya leo. Mimi natumaini kwamba ninyi mtaendelea na uchapaji huu.”

Wewe pia utayapata magazeti haya kuwa yenye msaada sana katika kujifunza kanuni za Biblia. Wewe unaweza kuyapata kwa njia ya posta kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyopo chini.

Tafadhali mnipelekee mimi andikisho la mwaka mmoja kwa Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mimi nawapelekea ninyi Kshs. 97.00 (Tshs. 480.00).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki