Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 11/15 uku. 32
  • Ujumbe kwa Ajili ya Leo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ujumbe kwa Ajili ya Leo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 11/15 uku. 32

Ujumbe kwa Ajili ya Leo

Mnara wa Mlinzi na Amkeni! yana ujumbe huo, kama ilivyosemwa na msomaji mmoja wa hivi majuzi aliyeomba andikisho la kuwa akipata magazeti hayo na akaandika hivi: “Mimi nimekuwa nikisoma gazeti letu kwa upendezi mkubwa. Nilipata nafasi ya kusoma maandiko yanayoambatana na zile makala tofauti-tofauti katika wakati wangu wa starehe.

“Sikuzote mimi hustaajabishwa na ujumbe unaotolewa na gazeti lenu kwa msaada wa habari za matukio ya leo. Haiwezi kukaziwa kwa kadiri ya kutosha jinsi vichapo vyenu vinavyohitajika kabisa ili kupata uelewevu bora wa Biblia. Gazeti lenu ndiyo sababu iliyonifanya niitoe Biblia yangu yenye vumbi-vumbi na kuchunguza hicho kitabu cha vitabu. Mimi huwa nikitazamia kweli kweli kupata kila toleo.”

Wewe pia unaweza kupelekewa Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Tupelekee Kshs. 97.00 (Tshs. 480.00) tu, na utapokea magazeti yote mawili (nakala tatu kwa mwezi) kwa mwaka mmoja.

Tafadhali mnipelekee andikisho la mwaka mmoja la Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mimi nimewapelekea Kshs. 97.00 (Tshs. 480.00).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki