Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w89 3/1 uku. 32
  • Tukio la Kukumbuka!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tukio la Kukumbuka!
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
w89 3/1 uku. 32

Tukio la Kukumbuka!

Ilikuwa Nisani 14 ya mwaka 33 W.K.

Yesu alikuwa akishiriki kikombe cha divai na pande la mkate usiotiwa chachu pamoja na mitume wake. Agizo lake lilikuwa nini? “Endeleeni kufanya hivi katika kunikumbuka mimi.”​—Luka 22:19; NW.

Kwa hiyo mara moja kwa mwaka Mashahidi wa Yehova kuzunguka ulimwengu hukusanyika kufanya ukumbusho wa kifo cha Yesu kwa njia aliyoagiza usiku aliotaarifu hivyo. Mwaka huu, Nisani 14 yaanza Jumatano, Machi 22, wakati wa jua kushuka. Wewe unaalikwa kwa mikono miwili ujiunge nasi katika mkutano huu wa ukumbusho jioni hiyo ya Jumatano. Tafadhali waulize Mashahidi wa Yehova wa kwenu wakati na mahali hususa pa mkutano huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki