Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w89 8/15 uku. 32
  • Bora Kuliko Dawa Yoyote

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Bora Kuliko Dawa Yoyote
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
w89 8/15 uku. 32

Bora Kuliko Dawa Yoyote

“Kwa miaka kumi mimi nimekuwa nikiteswa na skizofrenia, ugonjwa mkali wa akili,” aandika mwanamke mmoja kutoka Ohio, U.S.A. “Ilitakiwa nipewe madawa ili kunisaidia nikabiliane nao. Hivi majuzi mwili wangu umekuwa ukipambana na madawa hayo, kwa hiyo ni vigumu mimi kulala.

“Jioni moja kabla sijaenda kulala, nilizifungulia Kingdom Melodies. Nilishangaa sana kuona zikinituliza sana fikira na kunistarehesha. Zaidi ya yote, niamkapo katikati ya usiku na kuweza kuzisikia melodia hizo zenye mvumo mwororo wa kustarehesha, mimi husema asante kwa Yehova, ‘Oh jamani, hakika wewe wayajua mambo yenye kuwapendeza sana watu wako!’ Na hapo mimi hulala tena. Mimi nakuambia ukweli, hizo ni bora kuliko dawa yoyote ambayo ningeweza kutumia.”

Wewe pia waweza kunufaika na mipangilio hii ya muziki wenye kuburudisha. Kila moja ya kaseti nane hizo, Kingdom Melodies Na.1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, na 8, ni Kshs. 32/= tu, na muda wayo wa kuendelea kuimba ni karibu saa moja. Pokea kaseti zilizoorodheshwa chini kwa kujaza na kupeleka hati iliyoandamanishwa.

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, kaseti iliyo- (zilizo-) tiwa alama chini. Kwa ajili ya kila kaseti ambayo mimi nimeagiza, nimewapelekea Kshs. 32/=.

[ ] Kingdom Melodies No. 1 [ ] Kingdom Melodies No. 2

[ ] Kingdom Melodies No. 3 [ ] Kingdom Melodies No. 4

[ ] Kingdom Melodies No. 5 [ ] Kingdom Melodies No. 6

[ ] Kingdom Melodies No. 7 [ ] Kingdom Melodies No. 8

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki