Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w89 10/15 uku. 32
  • Ufunuo Upeo Wao Mtukufu U Karibu!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ufunuo Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
w89 10/15 uku. 32

Ufunuo Upeo Wao Mtukufu U Karibu!

“Kichapo hiki [chenye kichwa kilicho juu] chaonyesha kwa njia nzuri sana upendo na hangaikio lenye kina kirefu ambavyo Muumba wetu anavyo kwa watu wake wote,” aandika msomaji mwenye uthamini kutoka Mkoa wa Washington. “Kwa uhakika ni jambo lenye kuimarisha imani na lenye kutia nguvu kusoma kila neno.”

Msomaji huyo mwenye uthamini aongezea hivi: “Muundo wa kila sura ni wa kupendeza ajabu. Mimi nathamini sana maneno ya mistari yenye kuzungumziwa ambayo yamechapwa kwa herufi zenye kushika rangi sana, na pia vile vielezi na chati za kupendeza. Siwezi kueleza hisia ambazo huvutwa ndani yangu niwapo nikisoma. Mara nyingi kimefanya machozi yanilengelenge machoni.”

Sisi twahisi kwamba wewe pia utasisimuliwa na ule utambulishi wazi na wenye sababu za kiakili wa wale hayawani, yuie drakoni, yule kahaba mkubwa, na vifananisho vingine vilivyo katika Ufunuo. Utaiona maana ya hayo kwa ajili ya siku yetu. Kitabu hiki cha kusisimua chenye jalada gumu, chenye kurasa za ukubwa mmoja na gazeti hili, chatokeza ufikirio wa mstari kwa mstari wa kitabu kizima cha Biblia cha Ufunuo. Peleka habari leo ili ukipokee.

Ni Kshs. 50/= (Tshs. 360/=) tu, kikiwa kimelipiwa malipo ya posta.

Tafadhali mnipelekee kile kitabu cha kurasa 320 Revelation—Its Grand Climax At Hand! Mimi nawapelekea Kshs. 50/= (Tshs. 360/=).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki