Faraja Nyakati za Msononeko
Pokea Kaseti za Biblia Katika Pakiti za Matumizi Rahisi
Ningependa kueleza shukrani zangu zenye kuhisiwa moyoni kwa kufanya kuwe na kanda za Biblia,” aandika mwanamke mmoja kutoka Roma, New York. “Mume wangu ana kansa ya ubongo na hawezi tena kusoma. Kanda hizi zitakuwa zawadi kwa siku ya kukumbuka tarehe ya ndoa yetu, Septemba 26 (miaka 7). Hii ndiyo zawadi bora zaidi ambayo ningeweza kufikiria. Nitapata faraja kwamba ‘ingawa mwanadamu aliye kwa nje anachakaa, mwanadamu aliye kwa ndani anafanywa upya siku kwa siku’ kupitia Neno na ahadi za Mungu.”—2 Wakorintho 4:16, NW.
Pokea mirekodi hii ya lugha ya Kiingereza ya New World Translation of the Holy Scriptures. Pakiti ya Maandiko ya Kigiriki yote pamoja kuanzia Mathayo hadi Ufunuo (kaseti 18) ni Kshs. 600/= (Tshs. 3,600/=; RWF 3,000).
Pakiti mbili za Maandiko ya Kiebrania zapatikana pia. Ya kwanza ina Mwanzo hadi Ruth katika kaseti 18 na ni Kshs. 600/= (Tshs. 3,600/=; RWF 3,000); pakiti ya pili ina kaseti 21, ikiwa na 1 Samweli hadi Zaburi na ni Kshs. 665/= (Tshs. 3,990/=).
Kwa kutia alama katika visanduku mbalimbali hivi, onyesha ni pakiti za kaseti gani ambazo wataka, na utupelekee kiasi cha pesa zilizoonyeshwa.
□ Mimi nawapelekea Kshs. 600/= (Tshs. 3,600/=) kwa ile pakiti ya Maandiko ya Kigiriki.
□ Mimi nawapelekea Kshs. 600/= (Tshs. 3,600/=) kwa ile pakiti ya Mwanzo hadi Ruth.
□ Mimi nawapelekea Kshs. 665/= (Tshs. 3,990/=) kwa ile pakiti ya 1 Samweli hadi Zaburi.