Ni Gazeti Jipi la Kidini Lililo na Mwenezo Mkubwa Zaidi?
Ni Mnara wa Mlinzi! Sasa karibu nakala milioni 14 za kila toleo la gazeti hili huchapwa katika lugha zaidi ya mia moja. Wewe waweza kupokea Mnara wa Mlinzi katika yoyote ya lugha zilizoorodheshwa katika ukurasa wa 2. Pokea andikisho la mwaka, matoleo mawili kwa mwezi, kwa kujaza na kutupelekea tu hati-anwani hii yenye kuandama, pamoja na Kshs. 90/= (Tshs. 750/=; RWF 400).
Tafadhali mnipelekee andikisho la mwaka la Mnara wa Mlinzi. Mimi nawapelekea nyinyi Kshs. 90/= (Tshs. 750/=; RWF 400).