Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w90 10/1 uku. 32
  • Je! Uamini Utatu?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je! Uamini Utatu?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
w90 10/1 uku. 32

Je! Uamini Utatu?

Je! Yesu Kristo ndiye Mungu Mweza Yote?

Mtu mmoja wa kutoka Hayward, Kalifornia, aandika hivi: “Mimi nastaajabishwa, nasisimuka, na kupendezwa sana na broshua iliyotajwa juu. Ni kazi ya ustadi yenye habari chungu nzima kutokana na vyanzo mbalimbali vya kidini nayo inanukuu maneno yenye kukiri kwamba fundisho la Utatu ni bandia, lenye kuongoza vibaya, na haliungwi mkono na Neno la Mungu, Biblia.”

Wengi wamethamini uchunguzi huu wa kiuanachuo, wenye vithibitisho vya kutosha juu ya fundisho hili la msingi la makanisa yaliyo mengi ya Jumuiya ya Wakristo. Ikiwa wewe ungependa kupokea nakala ya broshua hii, tafadhali jaza na upeleke hati yenye anwani iliyoambatishwa.

Mimi ningependa kupokea ile broshua yenye kurasa 32 Should You Believe in the Trinity?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki