Amkeni! Huvuta Maisha za Watu
Amkeni! huchapishwa katika lugha 64, nalo lina wastani wa kuchapa nakala 11,930,00 kila nakala. Wasomaji kuzunguka ulimwengu huona shangwe na manufaa kutokana nalo, kama vile barua zao za uthamini zafunua. Ofisi ya Watch Tower katika Ghana, Afrika Magharibi, ilipokea maelezo yanayofuata:
“Mimi ni mmoja wa wasomaji wa kawaida wa gazeti lenu Amkeni! lenye kuheshimiwa sana la kielimu na la Kibiblia. Yaliyomo katika gazeti hilo yameathiri mtindo wa maisha yangu kwa njia nyingi sana! Sikuzote mimi hupenda kusoma sana gazeti hilo hivi kwamba mimi hupuuza milo yangu wakati wowote nipatapo nakala, ingawa mimi ni wa Kanisa Katoliki la Kiroma.”
Sisi twahisi kwamba hata wewe uwe ni wa dini gani, wewe pia utanufaika kutokana na zile makala zenye kuvutia katika Amkeni!
Mimi ningependa kuwa nikipata gazeti Amkeni!