Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w91 5/1 uku. 32
  • Asubuhi Yenye Utulivu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Asubuhi Yenye Utulivu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
w91 5/1 uku. 32

Asubuhi Yenye Utulivu

Hicho ndicho kitu ambacho msomaji mmoja katika Illinois, U.S.A., alisema gazeti Amkeni! liliandaa. “Nilishangazwa kwa uzuri baada ya kusoma nakala ya kichapo chenu Amkeni!,” akaandika mtu huyo. “Nilipewa gazeti hilo na mwanamke mmoja katika stesheni yangu ya gari ya moshi asubuhi hii. Lilinifanya nione pumziko na amani, na lilikuwa na habari nyingi za kufundisha. Tafadhali nijulisheni juu ya jinsi ninavyoweza kupata nakala za kichapo hiki kwa ukawaida.

“Asanteni tena kwa kuniruhusu angalau asubuhi moja yenye utulivu.”

Tunaona kwamba wewe pia utanufaika kutokana na makala zenye kusisimua katika Amkeni! Ikiwa ungependa kupokea gazeti hili, ujaze na upeleke tu kuponi inayoandama.

Ningependa kupelekewa gazeti Amkeni! nyumbani kwangu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki