Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w91 11/1 uku. 32
  • Kutafuta Amani ya Akili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutafuta Amani ya Akili
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
w91 11/1 uku. 32

Kutafuta Amani ya Akili

Hilo ndilo mwanamke mmoja kutoka Salt Lake City, Utah, U.S.A., alisema alikuwa akitafuta katika dini kwa miaka mingi. “Mpaka miezi minane iliyopita,” yeye aandika, “Nilifikiria kwamba singeweza kupata amani ya akili. Kisha Mashahidi wakaja mlangoni pangu Februari. Nimekuwa nikijifunza kwa miezi minane, nami ninatambua kwamba nyinyi peke yenu ndio mnaowatayarisha watu kwa ajili ya Ufalme wa Mungu.”

Mwanamke huyo aliongeza hivi: “Siku moja rafiki yangu Shahidi alinipa kitabu kiitwacho The Bible—God’s Word or Man’s? Sijapata kufurahia kitabu kwa kadiri nilivyofurahia hiki. Kwa hakika hiki ni kimojawapo vichapo bora zaidi vya Watch Tower Society.”

Ikiwa unataka kupokea nakala ya kichapo hiki kizuri, tafadhali jaza na kupeleka hati-anwani hii yenye kuandama

[Picha katika ukurasa wa 32]

Unabii mbalimbali wa Danieli wa mfuatano wa mamlaka za ulimwengu ulitimizwa kwa usahihi sana hivi kwamba wachambuzi wa kisasa hufikiri kwamba uliandikwa baada ya kutimizwa

Ningependa kupokea kile kitabu cha kurasa 192 chenye jalada gumu The Bible—God’s Word or Man’s?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki