Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w92 4/1 uku. 32
  • Siku ya Kukumbukwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Siku ya Kukumbukwa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
w92 4/1 uku. 32

Siku ya Kukumbukwa

Jioni ya kabla ya kufa kwake, Yesu alishiriki pamoja na mitume wake mkate usiotiwa chachu na kikombe cha divai, akasema: “Endeleeni kufanya hivi katika kunikumbuka mimi.”—Luka 22:19, NW. Mwaka huu mwadhimisho wa kila mwaka wa ombi lake utakuwa Aprili 1, baada ya jua kutua.

Kama tokeo, Mashahidi wa Yehova kuzunguka ulimwengu watakusanyika jioni hiyo ya pekee ili kurudia Ukumbusho huo kwa njia ile aliyoomba Yesu. Wakaribishwa kwa uchangamfu sana kukutana pamoja nasi. Tafadhali hakikisha pamoja na Mashahidi wa Yehova wa mahali unapoishi upate wakati na mahali barabara pa mkutano huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki