Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w95 4/1 uku. 32
  • Unaalikwa kwa Moyo Mweupe

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unaalikwa kwa Moyo Mweupe
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
w95 4/1 uku. 32

Unaalikwa kwa Moyo Mweupe

Kifo cha mwanamume Yesu Kristo zaidi ya miaka 1,900 iliyopita kilikuwa tukio la maana zaidi katika historia. Kilifungulia matazamio ya kupata uhai wa milele katika hali za paradiso. Wakati wa sherehe sahili moja, Yesu alitumia divai na mkate usiotiwa chachu kuwa mifano ya dhabihu yake ya kibinadamu yenye upendo. Halafu akawaambia wanafunzi wake: “endeleeni kufanya hivi katika kunikumbuka mimi.” (Luka 22:19, NW) Je, wewe utakumbuka tukio hili muhimu? Mashahidi wa Yehova wanakualika kwa uchangamfu ujiunge nao katika kufanya mwadhimisho huo wa ukumbusho. Utakuwa baada ya jua kushuka katika tarehe inayolingana na nisani 14 kwenye kalenda-mwezi ya Biblia. Unaweza kuhudhuria kwenye Jumba la Ufalme lililo karibu zaidi nawe. Tafuta kujua kutoka kwa Mashahidi wa Yehova wa kwenu kuhusu wakati na mahali barabara. Tarehe ya mwadhimisho katika 1995 itakuwa Ijumaa, Aprili 14.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki