Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w96 3/1 uku. 3
  • ‘Je, Mungu Ananijali?’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Je, Mungu Ananijali?’
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Bado “Agano la Kale” Linafaa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Siku ya Kukumbuka
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Yohana 3:16—“Kwa Maana, Mungu Aliupenda Ulimwengu”
    Mistari ya Biblia Yafafanuliwa
  • Filipo—Mweneza-Evanjeli Mwenye Bidii
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
w96 3/1 uku. 3

‘Je, Mungu Ananijali?’

“JE, YEYOTE Hunijali? Je, Mungu Hujali?” Ndivyo kilivyosema kichwa cha makala moja iliyotokea katika Christianity Today. “Sehemu kubwa ya kazi yangu nikiwa mwandikaji imehusu tatizo la uchungu,” asema Philip Yancey, mwandikaji wa hiyo makala. “Mimi hujiuliza tena na tena maswali ayo hayo, kana kwamba nagusa kidonda ambacho hakiponi kamwe. Mimi husikia kutoka kwa wasomaji wa vitabu vyangu, na masimulizi yao yenye uchungu mwingi huthibitisha shaka zangu.”

Labda wewe pia umejiuliza ikiwa Mungu anapendezwa na maisha yako. Aha, labda unafahamu Yohana 3:16, lisemalo kwamba “Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee.” Au huenda ukawa umesoma Mathayo 20:28 (New World Translation), lisemalo kwamba Yesu alikuja “kutoa nafsi yake kuwa fidia katika kubadilishana kwa ajili ya wengi.” Na bado waweza kuuliza, ‘Je, Mungu hutoa uangalifu kwangu mimi? Je, yeye hunijali mimi binafsi?’ Kuna sababu nzuri ya kuamini kwamba yeye hujali, kama tutakavyoona.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki