Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w99 3/15 uku. 32
  • Siku ya Kukumbukwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Siku ya Kukumbukwa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
w99 3/15 uku. 32

Siku ya Kukumbukwa

Jioni iliyotangulia kifo chake, Yesu alipitisha mkate usiotiwa chachu na kikombe cha divai kwa mitume wake na kuwaagiza wale na kunywa. Pia aliwaambia hivi: “Fulizeni kufanya hili katika ukumbuko wangu.”—Luka 22:19.

Mwaka huu ukumbusho wa tukio hilo utakuwa siku ya Alhamisi, Aprili 1, baada ya mshuko-jua. Mashahidi wa Yehova ulimwenguni pote watakusanyika usiku huu wa pekee ili kuadhimisha Ukumbusho huo kwa njia ambayo Yesu aliamuru. Unakaribishwa kwa uchangamfu ujiunge nasi. Tafadhali pata habari kutoka kwa Mashahidi wa Yehova wa kwenu ili upate kujua wakati na mahali barabara pa kufanyia mkutano huu wa pekee.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki