Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w00 7/15 uku. 27
  • Mkutano wa Kila Mwaka Oktoba 7, 2000

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mkutano wa Kila Mwaka Oktoba 7, 2000
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
  • Habari Zinazolingana
  • Mkutano wa Kila Mwaka Oktoba 7, 2000
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
  • Mkutano wa Kila Mwaka Oktoba 4, 1997
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
  • Mkutano wa Kila Mwaka
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
  • Mkutano wa Kila Mwaka
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
w00 7/15 uku. 27

Mkutano wa Kila Mwaka Oktoba 7, 2000

MKUTANO WA KILA MWAKA wa washiriki wa Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania utafanywa Oktoba 7, 2000, kwenye Jumba la Kusanyiko la Mashahidi wa Yehova, 2932 Kennedy Boulevard, Jersey City, New Jersey. Mkutano unaotangulia wa washiriki peke yao utafanywa saa 3:15 asubuhi, ukifuatwa na ule mkutano wa jumla wa kila mwaka saa 4:00 asubuhi.

Washiriki wa Shirika hilo wanapaswa kuijulisha Ofisi ya Mwandishi sasa juu ya badiliko lolote la anwani zao lililotokea mwaka uliopita ili zile barua za kawaida zenye taarifa na hati za kuwakilisha ziweze kuwafikia mwezi wa Julai.

Hati za kuwakilisha, watakazopelekewa washiriki pamoja na taarifa ya mkutano wa kila mwaka, zinapasa kurudishwa ili ziifikie Ofisi ya Mwandishi wa Sosaiti kabla ya Agosti 1. Inampasa kila mshiriki ajaze mambo yote yaliyo katika hati yake ya kumwakilisha na kuirudisha upesi, akieleza kama yeye mwenyewe atahudhuria mkutano au la. Habari zinazojazwa katika kila hati ya kuwakilisha zinapaswa kutaja waziwazi jambo hilo, kwa kuwa ndizo zitakazotumiwa kubainisha ni nani watakaohudhuria.

Inatarajiwa kwamba kipindi chote cha mkutano, kutia ndani ule mkutano rasmi na ripoti mbalimbali, kitamalizika mwendo wa saa 7:00 alasiri. Hakutakuwa na kipindi cha alasiri. Kwa sababu nafasi ni ndogo, wale wenye tikiti tu ndio watakaoweza kuingia kwenye mkutano. Hakutakuwa na mpango wa kuunganisha majumba mengine kwa simu ili kuusikia mkutano huu wa kila mwaka.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki