Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w01 4/1 uku. 32
  • Tukio Usilopaswa Kukosa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tukio Usilopaswa Kukosa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
w01 4/1 uku. 32

Tukio Usilopaswa Kukosa

“Kila zawadi njema na kila upaji mkamilifu” hutoka kwa Mungu, Baba yetu wa mbinguni.—Yakobo 1:17

ZAWADI kubwa zaidi ambayo Mungu amewapa wanadamu wenye dhambi ni uandalizi wa kuwaokoa kutoka katika hali hiyo yenye dhambi kupitia Mwana wake mzaliwa-pekee, Yesu Kristo. Kifo cha Yesu, aliye Mfidi wetu, hutuwezesha kupata uhai udumuo milele kwenye dunia paradiso. Andiko la Luka 22:19 linatuamuru tuadhimishe kifo chake.

Mashahidi wa Yehova wanakualika kwa uchangamfu ujiunge nao wanapotii amri hiyo ya Yesu. Tukio hilo la kila mwaka litaadhimishwa baada ya jua kushuka kwenye siku inayolingana na Nisani 14 kwenye kalenda ya Biblia—Jumapili, Aprili 8, 2001. Itie alama siku hiyo ili usiisahau. Mashahidi wa Yehova mahali unapoishi wanaweza kukuambia wakati na mahali barabara pa mkutano huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki