Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w04 3/15 uku. 32
  • Siku ya Kukumbukwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Siku ya Kukumbukwa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
w04 3/15 uku. 32

Siku ya Kukumbukwa

JIONI iliyotangulia kifo chake, Yesu Kristo alipitisha mkate usiotiwa chachu na kikombe cha divai nyekundu kwa mitume wake na kuwaagiza wale na kunywa. Pia aliwaambia hivi: “Endeleeni kufanya hivi kwa kunikumbuka mimi.”—Luka 22:19.

Mwaka huu tukio hilo litaadhimishwa Jumapili, Aprili 4, baada ya jua kutua. Mashahidi wa Yehova ulimwenguni pote watakutanika jioni hiyo ili kuadhimisha Ukumbusho huo kulingana na maagizo ya Yesu. Unakaribishwa kwa uchangamfu kujiunga nao. Tafadhali wasiliana na Mashahidi wa Yehova wa eneo lenu kuhusu wakati na mahali hususa ambapo mkutano huo wa pekee utafanyiwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki