Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w06 3/15 uku. 32
  • Kutana Pamoja Nasi—Jumatano, Aprili 12

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutana Pamoja Nasi—Jumatano, Aprili 12
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
w06 3/15 uku. 32

Kutana Pamoja Nasi—Jumatano, Aprili 12

Usiku wa Kukumbukwa

Usiku kabla ya kufa, Yesu Kristo alianzisha Ukumbusho wa kifo chake. Akitumia divai na mkate usiotiwa chachu kama mifano, Yesu aliamuru hivi: “Endeleeni kufanya hivi kwa kunikumbuka mimi.”—Luka 22:19.

Mashahidi wa Yehova wanakualika kwa uchangamfu ujiunge nao kutii maneno hayo ya Yesu kwa kukumbuka tukio hilo la kila mwaka. Ili kufahamu mahali pa kukutania, siku na saa, tafadhali ona upande wa nyuma wa kikaratasi hiki au uwasiliane na Mashahidi wa Yehova walio karibu nawe.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki