Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w07 3/1 uku. 32
  • Tukio la Kukumbuka!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tukio la Kukumbuka!
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
w07 3/1 uku. 32

Tukio la Kukumbuka!

Jumatatu, Aprili 2

Ilikuwa Nisani 14 ya mwaka wa 33 W.K. Yesu alikuwa akishiriki kikombe cha divai na mkate usiotiwa chachu pamoja na mitume wake. Alitoa maagizo gani? “Endeleeni kufanya hivi kwa kunikumbuka mimi.”—Luka 22:19.

Kwa hiyo, mara moja kwa mwaka, Mashahidi wa Yehova ulimwenguni pote wanakusanyika kukumbuka kifo cha Yesu kupatana na maagizo aliyotoa usiku ambao alisema maneno hayo. Mwaka huu, Nisani 14 inaanza Jumatatu (Siku ya 1), tarehe 2 Aprili (Mwezi wa 4), baada ya jua kushuka. Unaalikwa kwa uchangamfu ujiunge nasi katika mkutano huo wa ukumbusho jioni hiyo. Tafadhali waulize Mashahidi wa Yehova wa eneo lenu kuhusu wakati hususa na mahali pa mkutano huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki