Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w09 12/1 uku. 32
  • Ukurasa wa 32

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa 32
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
w09 12/1 uku. 32

Ukurasa wa 32

◼ Jifunze kuhusu suluhisho la ulimwenguni pote la matatizo yanayokabili ulimwengu mzima. Ona ukurasa wa 5.

◼ Wale waliookoka mauaji huko Winnenden, Ujerumani, wanaeleza jinsi walivyokabiliana na madhara ya mkasa huo. Ona ukurasa wa 9.

◼ Mfalme Herode aliyejaribu kumwua Yesu alikuwa nani? Ona ukurasa wa 13.

◼ Unafahamu nini kuhusu sherehe ya Mwaka Mpya inayofanywa na watu wa Asia? Ona ukurasa wa 20.

◼ Jifunze kuhusu muziki wa nyakati za Biblia kwa kuchunguza maisha ya Mfalme Daudi. Ona ukurasa wa 26.

◼ Je, kweli kulikuwa na wafalme, au wanaume watatu wenye hekima walioenda kumwabudu Yesu alipokuwa katika hori? Ona ukurasa wa 31.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 32]

Starving children: WHO/OXFAM

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki