Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w12 11/1 kur. 24-25
  • Masomo Yangu ya Biblia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Masomo Yangu ya Biblia
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Habari Zinazolingana
  • Somo la 4
    Masomo Yangu ya Biblia
  • Tabasamu Ni Yenye Manufaa Kwako!
    Amkeni!—2000
  • Thamini Mvua
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Ni Nani Aliyeviumba Vitu Vyote?
    Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
w12 11/1 kur. 24-25

Masomo Yangu ya Biblia

UMRI USIOZIDI MIAKA 3

Mvua inanyesha.

“Siwezi kutoka nje ya nyumba.

Kwa nini mvua haiachi kunyesha?”

Mary alalamika.

Lakini jambo la kushangaza linatokea!

Jua linawaka.

Mvua imeacha kunyesha.

Mary anashangilia!

Anakimbia na kutoka nje, kwa mshangao, Mary anaona kitu chenye kupendeza.

Mary anasema, “Sikujua kwamba mvua kutoka kwa Mungu inaweza kusaidia maua kuchanua!”

MAZOEZI

Mwombe mtoto wako akuonyeshe:

  • Dirisha

  • Mary

  • Maua

  • Ndege

  • Mti

Tafuta vitu vilivyofichwa.

  • Mdudu

  • Ndege ya kusafiria

Soma Matendo 14:17. Kwa nini Yehova aliumba mvua?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki