Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w17 Juni uku. 2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
w17 Juni uku. 2

Yaliyomo

3 Je, Unakumbuka??

JUMA LA JULAI 31, 2017–AGOSTI 6, 2017

4 Yehova Huandaa Faraja Katika Dhiki Zetu Zote

Ingawa sote hukabili majaribu na dhiki, Yehova huandaa faraja tunayohitaji. Makala hii inaeleza maandalizi muhimu tunayoweza kutumia ili kupata faraja ya kweli sasa na wakati ujao.

JUMA LA AGOSTI 7-13, 2017

9 Weka Moyo Wako Juu ya Hazina za Kiroho

Makala hii itatusaidia kutumia somo ambalo Yesu alifundisha katika mfano wa mwanabiashara anayetafuta lulu. Itatusaidia pia kuchanganua maoni yetu ya kibinafsi kuhusu mgawo ambao Wakristo wamepewa wa huduma inayookoa uhai na kweli ambazo tumejifunza kwa miaka mingi.

14 Usiangalie Sura ya Nje Tu!

16 Je, Utasuluhisha Kutoelewana na Kuendeleza Amani?

21 “Busara Yako na Ibarikiwe!”

JUMA LA AGOSTI 14-20, 2017

22 Kaza Macho Yako Kwenye Suala Kuu

JUMA LA AGOSTI 21-27, 2017

27 Unga Mkono Enzi Kuu ya Yehova!

Kwa sababu ya pilikapilika za maisha, ni rahisi kusahau jambo muhimu. Makala hizi zitatusaidia kuelewa umuhimu wa enzi kuu ya Yehova na kuelewa jinsi tunavyoweza kuiunga mkono.

32 Je, Unakumbuka?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki