Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w17 Desemba uku. 2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
w17 Desemba uku. 2

Yaliyomo

JUMA LA JANUARI 29, 2018–FEBRUARI 4, 2018

3 “Ninajua Atafufuka”

JUMA LA FEBRUARI 5-11, 2018

8 “Nina Tumaini kwa Mungu”

Ni matukio gani ya zamani ambayo yaliwapa Wakristo msingi wa kuwa na uhakika kwamba kutakuwa na ufufuo? Matukio hayo na uhakika ambao watumishi wengine waaminifu wa zamani walikuwa nao yanaweza kukusaidiaje uwe na uhakika katika tumaini lako? Makala hizi zitaimarisha imani yako katika ufufuo.

13 Je, Unakumbuka?

14 Maswali Kutoka kwa Wasomaji

16 Maswali Kutoka kwa Wasomaji

JUMA LA FEBRUARI 12-18, 2018

18 Wazazi—Wasaidieni Watoto Wenu Wawe ‘Wenye Hekima kwa Ajili ya Wokovu’

JUMA LA FEBRUARI 19-25, 2018

23 Vijana—“Endeleeni Kuufanyia Kazi Wokovu Wenu Wenyewe”

Kila mwaka, maelfu ya wanafunzi wa Biblia hubatizwa. Wengi wao ni vijana au watoto wanaokaribia umri wa kubalehe. Ingawa ubatizo hufungua njia ya kupata baraka nyingi, unahusisha pia wajibu mkubwa. Wazazi, mnaweza kuwasaidiaje watoto wenu wafikie lengo la kubatizwa? Vijana mliobatizwa na ninyi mnaofikiria kubatizwa, mnaweza kuimarishaje uhusiano wenu na Yehova?

28 Simulizi la Maisha​—Niliacha Vitu Vyote Ili Kumfuata Bwana

32 Fahirisi ya Habari za mnara wa mlinzi 2017

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki