Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp18 Na. 3 kur. 1-2
  • Je, Mungu Anakujali?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Mungu Anakujali?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2018
wp18 Na. 3 kur. 1-2
Gazeti la Mnara wa Mlinzi, Na. 3, 2018 | Je, Mungu Anakujali?

Je, Mungu Anakujali?

© 2018 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

Picha kwenye jalada inamwonyesha mkimbizi kutoka kwenye eneo lililopatwa na janga la asili

Gazeti hili haliuzwi. Ni sehemu ya kazi ya elimu ya Biblia ya ulimwenguni pote inayotegemezwa kwa michango ya hiari. Ikiwa ungependa kutoa mchango, tafadhali tembelea tovuti ya www.jw.org/sw. Isipokuwa iwe imeonyeshwa vingine, Maandiko yamenukuliwa kutoka katika Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya.

GAZETI HILI, Mnara wa Mlinzi, linamheshimu Yehova Mungu, ambaye ndiye Mtawala Mkuu wa ulimwengu. Linawafariji watu kwa habari njema kwamba hivi karibuni Ufalme wa Mungu ulio mbinguni, utakomesha uovu wote na kuigeuza dunia kuwa paradiso. Linawatia moyo watu wamwamini Yesu Kristo, ambaye alikufa ili tupate uzima wa milele na ambaye sasa anatawala akiwa Mfalme wa Ufalme wa Mungu. Gazeti hili limekuwa likichapishwa tangu 1879 na si la kisiasa. Linashikamana na Biblia ambayo ndiyo msingi wake.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki