Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w18 Januari uku. 2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
w18 Januari uku. 2

Yaliyomo

3 Walijitoa Wenyewe Kwa Hiari​—Madagaska

JUMA LA FEBRUARI 26, 2018–MACHI 4, 2018

7 “Yeye Humpa Nguvu Mtu Aliyechoka”

Tunapohisi tumelemewa na mikazo ya maisha, sisi hufanya nini? Makala hii inazungumzia andiko la mwaka wa 2018 na inaonyesha kwa nini tunahitaji kumpa Yehova fursa ya kutuimarisha, na jinsi anavyofanya hivyo.

JUMA LA MACHI 5-11, 2018

12 Ukumbusho Huwaunganisha Watu wa Mungu

Mwadhimisho wa kila mwaka wa Ukumbusho wa kifo cha Kristo utafanywa Jumamosi, Machi 31, 2018. Tunaweza kujitayarishaje kwa ajili ya tukio hilo? Tutanufaikaje kwa kuhudhuria? Na tukio hilo la kila mwaka huchangiaje umoja wa watu wa Mungu kila mahali? Utapata majibu ya maswali hayo kwenye makala hii.

JUMA LA MACHI 12-18, 2018

17 Kwa Nini Umpe Yule Aliye na Kila Kitu?

Vitu vyote tulivyo navyo vimetoka kwa Yehova. Hata hivyo, bado anatarajia tutumie pesa zetu kutegemeza kazi ya tengenezo lake leo. Makala hii itaeleza kwa nini tumheshimu Yehova kwa vitu vyetu vyenye thamani na jinsi tunavyonufaika kwa kufanya hivyo.

JUMA LA MACHI 19-25, 2018

22 Ni Upendo wa Aina Gani Unaoleta Furaha ya Kweli?

JUMA LA MACHI 26, 2018–APRILI 1, 2018

27 Tofauti Kati ya Watu Wanaomtumikia Yehova na Wasiomtumikia

Makala ya kwanza inaeleza jinsi tunavyopata furaha ya kweli kwa kumpenda Mungu bali si kwa kupenda vitu vinavyopendwa na watu wa “siku za mwisho.” (2 Tim. 3:1) Makala ya pili inaeleza jinsi sifa za watu wa siku za mwisho zinavyotofautiana kabisa na sifa zinazoonyeshwa na watu wa Mungu.

32 Je, Wajua?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki