Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w19 Julai uku. 32
  • Habari Zilizoteuliwa Kwenye JW.ORG

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Zilizoteuliwa Kwenye JW.ORG
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
w19 Julai uku. 32

Habari Zilizoteuliwa Kwenye JW.ORG

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Mkono Wenye Kustaajabisha wa Pweza

Mkono wa pweza unaoweza kujipinda upande wowote umewasaidia wahandisi kubuni mkono wa roboti unaoweza kuwasaidia madaktari kufanya upasuaji bila kuathiri viungo vingine vya mwili.

Kwenye jw.org/sw, tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > SAYANSI NA BIBLIA > JE, NI KAZI YA KUBUNI?

BIBLIA INABADILI MAISHA

“Nilikuwa Nikijichimbia Kaburi”

Óscar anasadiki kwamba asingekuwa hai leo pasipo msaada wa Neno la Mungu. Ni nini kilichomchochea mwanamume huyo ambaye zamani alikuwa mshiriki wa genge nchini El Salvador kubadili kabisa maisha yake?

Kwenye jw.org/sw, tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > AMANI NA FURAHA > BIBLIA INABADILI MAISHA.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki