Habari Zilizoteuliwa Kwenye JW.ORG
VIJANA HUULIZA
Je, Kuwasiliana na Pepo Kuna Madhara?
Watu wengi wamependezwa na mambo kama vile elimu ya nyota, roho waovu, watu wanaowanyonya wengine damu, na uchawi. Ni hatari zipi unazopaswa kujua ili kujihadhari?
Kwenye jw.org/sw, tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > MATINEJA > VIJANA HUULIZA.
JE, WAJUA?
Uvumbuzi wa Kiakiolojia Unaonyesha Mfalme Daudi Alikuwa Mtu Halisi
Wachambuzi fulani wamesema kwamba Mfalme Daudi wa Israeli alikuwa mtu wa kuwaziwa tu. Wavumbuzi wamegundua nini?
Kwenye jw.org/sw, tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > HISTORIA NA BIBLIA > USAHIHI WA KIHISTORIA WA BIBLIA.