Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 2/88 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1988
Huduma Yetu ya Ufalme—1988
km 2/88 uku. 3

Matangazo

● Toleo la vitabu kwa Februari: Cho chote cha vitabu vya mfukoni ambavyo kundi linavyo akibani kwa nusu ya bei ya kawaida. Vinaweza kutia ndani Kuchagua, Commentary on James, “Eternal Purpose,” Evolution (nakala ya kale), Good News, Holy Spirit, Amani na Usalama (nakala ya kale), Uzima Uu Huu, Kweli, na World Government. Machi: Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? Aprili na Mei: Uandikishaji wa Mnara wa Mlinzi kwa mwaka mmoja. Ikiwa andikisho halifanywi, toa magazeti mawili na broshua ya Jina.

● Sherehe ya Ukumbusho itafanywa Ijumaa, Aprili 1, 1988. Ingawa hotuba inaweza kuanza mapema, tafadhali kumbukeni kwamba kupitishwa kwa mkate na divai ya Ukumbusho kusifanywe mpaka baada ya jua kutua. Mikutano mingine isifanywe tarehe hiyo. Ikiwa kwa kawaida kundi lenu lina mikutano siku ya Ijumaa, huenda mkapenda kuifanya wakati mwingine katika juma ikiwa Jumba linapatikana. Ikiwa Mkutano wenu wa Utumishi unaathiriwa, huenda likawa jambo linalowezekana kuunganisha sehemu zo zote zinazofaa ambazo zimeratibiwa kwa ajili ya juma hilo kwenye Mkutano mwingine wa Utumishi.

● Kama ilivyotangazwa kwenye “Tumaini Katika Yehova” Mkusanyiko wa Wilaya, muhtasari mipya 16 za hotuba ya watu wote zimetayarishwa. Mara zinapopokewa, zapasa zigawiwe kwa wasemaji wanaostahili na ratiba itolewe kundini.

● Bei ya nakala ya ziada ya uandikishaji wa ndege kwa kikundi cha watu 13: Kshs. 230/- wote, 198/- pai; FRw 1380 wote, 1190 pai; SRs 97/- wote, 83/- pai.

● Vinavyopatikana tena:

Kiongozi cha Shule —Swahili

Reasoning from Scriptures —Kiingereza

Life—How Did It Get Here? —Kiingereza

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki