Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 11/88 uku. 8
  • Ripoti ya Utumishi ya Agosti

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ripoti ya Utumishi ya Agosti
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1988
Huduma Yetu ya Ufalme—1988
km 11/88 uku. 8

Ripoti ya Utumishi ya Agosti

Wast. Wast. Wast. Wast.

Wahu. Saa Mags. Z.K. Maf. Bi.

K.

Pai. Pekee 125 137.5 37.8 45.2 7.3

Mapai. 501 77.8 23.5 23.2 4.2

Pai. Msai. 616 63.5 21.5 20.6 2.5

Wahu. 3,455 17.2 5.4 5.1 1.0

JUMLA 4,697 Kilele Kipya: 4,685

T.

Pai. Pekee 62 136.7 19.8 46.0 7.1

Mapai. 239 80.9 8.2 24.4 3.3

Pai. Msai. 223 60.3 10.8 16.3 2.2

Wahu. 2,235 13.9 1.8 4.7 0.6

JUMLA 2,759

E.

Pai. Msai. 306 67.2 0.1 20.8 2.3

Wahu. — 18.7 0.1 5.2 0.9

Kilele Kipya: _____

R.

Pai. Msai. 148 62.8 4.2 28.4 3.2

Wahu. — 24.2 1.0 12.5 2.0

Kilele Kipya: ____

SE.

Mapai. 3 99.7 34.3 57.3 7.7

Wahu. 65 13.3 8.6 5.4 1.1

SU.

Wahu. 252 16.2 3.0 7.9 1.8

U.

Pai. Msai. 49 59.3 69.2 19.2 3.6

Wahu. 252 18.6 10.8 7.6 1.6

Ripoti ya Mwaka inatoa ithibati ya baraka za Yehova juu ya kazi katika Afrika Mashariki. Kwa nchi zote zilizo chini ya afisi ya tawi kuna 11,312 wanaoripoti, zaidi ya 35,000 walihudhuria Ukumbusho; 1,241 walibatizwa; na mapainia 2,233 kwa wastani wamo shambani kila mwezi. Kukiwa na mafunzo ya Biblia 16,342 yanayoongozwa kila mwezi tunaweza kutazamia ongezeko zaidi wakati wa mwaka huu mpya wa utumishi. Pongezi kwenu nyote ‘vitu vinavyotamaniwa na mataifa!’ Endeleeni kufanya kazi yenu nzuri na mwendelee kupokea baraka kutoka kwa Mungu wetu Mkuu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki