Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 2/89 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1989
Huduma Yetu ya Ufalme—1989
km 2/89 uku. 3

Matangazo

● Toleo la fasihi kwa Februari: Chochote cha vitabu vyenye kurasa 192 ambacho kilitangazwa kwa kupigwa chapa kabla ya 1980, kwa nusu ya mchango wa kawaida. Ingawa Kuchagua, Commentary on James, na Word of God huenda vikawa vilichapishwa kwenye karatasi nzuri, hivi pia vyapasa kutumiwa katika toleo hili. Toleo badala kwa makundi ambayo hayana vitabu vya zamani: kitabu kingine chochote cha kurasa 192 walicho nacho kundini kwa mchango wa kawaida. (Ona Huduma ya Ufalme Yetu kuhusu kupunguziwa bei.) Machi: Revelation—It’s Grand Climax at Hand! au Ufalme Wako Uje katika Kiswahili. Aprili na Mei: Uandikishaji wa Mnara wa Mlinzi.

● Mwadhimisho wa Ukumbusho utafanywa Jumatano, Machi 22, 1989. Ingawa hotuba inaweza kuanza mapema, tafadhali kumbuka kwamba kupitishwa kwa mkate wa Ukumbusho na divai hakupaswi kufanywa mpaka jua linapotua. Ulizeni vyanzo vya mahali penu ili mjue jua linatua saa ngapi katika mahali penu. Mikutano mingine isifanywe tarehe hiyo. Ikiwa kwa kawaida kundi lenu linafanya mikutano siku ya Jumatano, mnaweza kuifanya saa nyingine katika juma ikiwa jumba linapatikana. Ikiwa Mkutano wa Utumishi wenu unaathiriwa, huenda ikawezekana kuunganisha sehemu zozote ambazo zimeratibiwa kwa juma hilo katika Mkutano wa Utumishi mwingine hasa zile sehemu zinazohusu kundi lenu.

● Hakuna mipango inayofanywa ili hotuba za watu wote zitolewe katika kitabu Revelation—It’s Grand Climax at Hand!

● Waangalizi wasimamizi tafadhali fanyeni rekebisho katika Muhtasari wa Hotuba ya Watu wote Na. 102: Mistari ya mwisho mitatu ya habari kuu namba moja kwenye ukurasa wa pili wa muhtasari huo inapaswa kusoma hivi: “Hatimaye, kutakuwa na kujaribu kwa kutimiza Ufunuo 20:7, 8 (Soma.)

Waasi wote wataharibiwa; wote watakaopita jaribu hilo watapewa haki ya kupata uhai wa milele

Maneno ya Paulo kwenye 1 Wakorintho 15:24-28 yatakuwa kweli (Soma.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki