Mikutano ya Utumishi wa Shambani
MEI 1-7
Unapotoa uandikishaji, unaweza kutumiaje
1. Ukurasa wa 2 wa Mnara wa Mlinzi?
2. Makala kuu?
MEI 8-14
Ungetoaje uandikishaji
1. Kwenye ziara za kurudia na mafunzo ya Biblia?
2. Kwa wafanya kazi wenzako?
MEI 15-21
Unapanga kufanya nini na
1. Wasiopatikana nyumbani?
2. Vikaratasi vya uandikishaji vinavyokwisha?
3. Trakti?
MEI 22-28
Unaweza kukabilianaje na
1. Kuhofu mwanadamu?
2. Ubaridi?
3. Kukataliwa kwa njia ya utovu wa adabu?
MEI 29-JUNI 4
Wewe
1. Utafuatiaje waliokuahidi kuandikisha?
2. Utatoaje kitabu Amani ya Kweli?
3. Utaanzishaje funzo la Biblia kwa kutumia toleo?