Matangazo
● Toleo la fasihi kwa Juni: Amani na Usalama wa Kweli—Wewe Unaweza Kuupataje? Julai, Agosti na Septemba: Mojapo broshua zinazofuata zenye ukubwa wa gazeti: Furahia Maisha Milele Duniani!, “Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya,” Jina la Mungu Litakaloendelea Milele, na Serikali Itakayoleta Paradiso.
● Mwangalizi msimamizi au mtu aliyechaguliwa naye akague hesabu ya kundi Juni 1 au upesi baada ya hapo.
● Nakala mbili za Muhtasari wa Mkutano wa Watu Wote Na. 68 uliosahihishwa zinapelekwa kwa makundi yote. Tafadhali waangalizi wasimamizi hakikisheni kwamba muhtasari mpya unatumiwa na akina ndugu waliogawiwa kutoa hotuba hii.
● Vichapo vilivyo akibani:
Kiingereza
Mabuku yaliyojalidiwa ya Watchtower 1960
Mabuku yaliyojalidiwa ya Watchtower 1961
Mabuku yaliyojalidiwa ya Watchtower 1962
Mabuku yaliyojalidiwa ya Watchtower 1963
Mabuku yaliyojalidiwa ya Watchtower 1964
Kitabu cha Mwaka 1989 (Kiingereza)
Insight on the Scriptures
True Peace and Security—How Can You Find It?
Your Youth
Swahili
Mwimbieni Yehova Sifa
Kitabu cha Mwaka 1988
Amani na Usalama wa Kweli—Wewe Unaweza Kuupataje?
Usalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani”
Kaseti—Kiingereza
Great Teacher (seti ya tepu nne na kitabu katika pakiti moja)
My Book of Bible Stories
1 Peter
Matthew
Daniel