Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 9/89 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1989
Huduma Yetu ya Ufalme—1989
km 9/89 uku. 3

Matangazo

● Toleo la fasihi kwa Septemba: Mojapo broshua zinazofuata zenye kurasa 32, ukubwa wa gazeti: Furahia Maisha Milele Duniani!, “Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya,” Jina la Mungu Litakaloendelea Milele, na Serikali Itakayoleta Paradiso. Au, Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? Oktoba: Andikisho la mwaka mmoja kwa Amkeni! au Mnara wa Mlinzi, au yote mawili. Novemba: New World Translation of the Holy Scriptures na broshua Jina. Desemba: Hadithi za Biblia, Kuishi Milele, kama ifaavyo, kwa mchango unaolingana.

● Mwangalizi msimamizi au mtu mwingine aliyewekwa naye apaswa akague hesabu ya kundi Septemba 1 au upesi baada ya hapo.

● Orodha ya Bei mpya imetayarishwa kwa matumizi katika maeneo kadhaa, na nakala nne zinatumwa kwa kila kundi linalohusika pamoja na fomu za kila mwaka. Zapasa zigawiwe mwandishi na wale ndugu wanaoangalia fasihi, magazeti, na hesabu.

● Tumepokea kwa ajili ya matumizi shambani nakala za ziada za Awake! ya Oktoba 8, 1988 juu ya UKIMWI. Makundi yaweza kupeleka maagizo kwa nakala zaidi za toleo hili.

● Vifaa Vinavyopatikana:

Furahia Maisha —Kiswahili

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki