Ripoti ya Utumishi wa Agosti
Wast. Wast. Wast. Wast.
Wahu. Saa Mag. Z.K. Maf. Bi.
K.
Pai. Pekee 131 140.5 54.6 46.8 7.4
Mapai 472 76.8 22.7 23.5 3.9
Pai. Msai. 471 67.3 27.5 15.6 2.6
Wahu. 3,949 16.5 5.6 5.0 1.0
JUMLA 5,023 Kilele Kipya: 5,023
T.
Pai. Pekee 92 142.6 27.8 56.0 7.8
Mapai 347 86.9 13.2 28.9 3.5
Pai. Msai. 230 65.1 8.3 20.3 2.2
Wahu. 2,680 15.3 2.0 4.9 0.8
JUMLA 3,349 Kilele Kipya: 3,285
E.
Pai. Msai. 395 63.9 0.1 18.8 2.6
Wahu. — 15.8 0.1 6.1 1.0
Kilele Kipya: —
R.
Pai. Msai. 137 64.3 1.8 30.8 3.4
Wahu. — 22.4 0.5 12.7 1.8
Kilele Kipya: —
SE.
Mapai 6 79.5 27.5 30.0 5.2
Wahu. 61 15.4 8.6 6.0 1.1
SU.
Pai. Msai. 39 67.8 15.2 37.7 5.5
Wahu. — 19.9 4.5 10.4 1.6
Kilele Kipya: —
U.
Pai. Msai. 85 65.6 53.2 23.8 3.6
Wahu. 441 16.5 9.2 7.1 1.5
Kilele Kipya: 627
Mwaka wa utumishi wa 1989 ulikuwa wenye mambo mengi sana kwa eneo letu la tawi. Ripoti ya kila mwaka inaonyesha kwamba kwa nchi zote jumla iliyounganishwa ya wahubiri 12,500. Hii ni ongezeko la asilimia 11 zaidi ya mwaka jana. Tunashangilia pamoja na wale 1,140 walioonyesha wakfu wao nasi twatazamia kuwasaidia wengi miongoni mwa mafunzo ya Biblia ya nyumbani 18,771 yanayoongozwa wafanye maendeleo ili wawe watumishi wa Mungu wetu. Lenye kutia moyo pia na ongezeko la asilimia 9 la mapainia kwa ujumla walio shambani kila mwezi kufikia wastani wa 2,425 na ongezeko la asilimia 6 katika hudhurio la Ukumbusho kufikia 37,561. Kweli kweli ripoti yote ya mwaka yaleta shangwe kwa mioyo yetu! Sisi sote na tuendelee kujitahidi kwa bidii katika utumishi na kusaidia wengine ‘wahofu Mungu na kumpa yeye utukufu.’