Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 1/90 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1990
Huduma Yetu ya Ufalme—1990
km 1/90 uku. 3

Matangazo

● Toleo la fasihi kwa ajili ya Januari na Februari: Chochotecha vitabu vya kurasa 192 vilivyochapwa kabla ya 1980 ambavyo kundi linavyo akibani kwa nusu ya mchango wa kawaida, isipokuwa vifuatavyo: Maisha ya Jamaa, Mwalimu Mkuu, Uzima Huu, Kweli, na Ujana. (Kwa ajili ya kukopeshwa, wazee wapaswa kurejea kwa miongozo katika Huduma ya Ufalme Yetu ya Desemba 1988, ukurasa 3.) Ikiwa kundi halina akiba ya vitabu vya kutolewa kwa mchango uliopunguzwa, kitabu Usalama Ulimwenguni Pote chaweza kutolewa.

● Kuanzia Februari na si baada ya Machi 1, hotuba ya peupe iliyo mpya kwa ajili ya waangalizi wa mzunguko itakuwa “Kushangilia Yehova Kwenye Mikusanyiko ya Polandi.” Huo utakuwa ni utoaji wa slaidi ukisimulia baadhi ya mambo makuu ya “Ujitoaji wa Kimungu” Mikusanyiko ya Wilaya ya 1989 iliyofanyiwa Polandi.

● Hotuba ya pekee kwa ajili ya majira ya Ukumbusho ya 1990 itatolewa ulimwenguni pote siku ya Jumapili, Machi 25, 1990. Kichwa cha hotuba hiyo kitakuwa “Jitahidi Kufikia Uzima Halisi!” Muhtasari utaandaliwa. Makundi yale yenye ziara ya mwangalizi wa mzunguko mwisho-juma huo yatakuwa na hotuba hiyo ya pekee juma lifuatalo. Hakuna kundi linapaswa kuwa na hotuba hiyo ya pekee kabla ya Machi 25.

● Sahihisho: Katika Mnara wa Mlinzi 10/15/89 ukurasa 14, fungu 20, badili sentensi ya pili isomeke: “Hata hivyo, kitendo hicho hakipasi kuchukuliwa dhidi ya wale walio na hatia ya porojo nyepesi-nyepesi.”

● Vinavyopatikana akibani

Kiingereza:

Kiongozi cha Shule

Kuyachunguza Maandiko—1990

Kalenda 1990

Reasoning From the Scriptures

Index 1986-88

New World Translation—ya kawaida na dilaksi

Know Jehovah

Your Will Be Done on Earth

Victory Over Death

In Search of a Father

The Path of Divine Truth

Kaseti:

Mathayo

Kiswahili:

Furahia Milele Maisha Duniani!

Kifaransa:

Mwimbieni Yehova Sifa—kidogo

New World Translation—ya kawaida na dilaksi

Creation

Kiongozi cha Shule

Index 1971-75

Index 1976-80

Index 1981-85

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki