Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 3/90 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1990
Huduma Yetu ya Ufalme—1990
km 3/90 uku. 3

Matangazo

● Toleo la fasihi kwa ajili ya Machi: The Bible—God’s Word or Man’s? Aprili na Mei: Andikisho la Mnara wa Mlinzi. Andikisho lisipochukuliwa, magazeti mawili na nakala ya broshua yoyote, isipokuwa broshua Shule, yaweza kutolewa. Juni: Kuokolewa Kuingia Katika Dunia Mpya.

● Mwangalizi msimamizi au mtu fulani aliyepewa mgawo naye apaswa kukagua hesabu ya kundi mnamo Machi 1 au mara tu iwezekanapo baada ya hapo.

● REKEBISHO: Katika Mnara wa Mlinzi wa 9/15/89, ukurasa 19, fungu 15, mstari 6, ONDOENI maneno “na kufungwa” ili sentensi yote isomwe hivi: “Mkutano unaofanywa pamoja na ndugu au dada ambaye ameshtakiwa kuwa amefanya kosa zito unapaswa ufunguliwe kwa sala.”

● Vichapo Vinavyotazamiwa Akibani Karibuni:

Victory Over Death—Is It Possible for You —French

Furahia Milele Maisha Duniani! —Kikamba

Furahia Milele Maisha Duniani! —Kinyarwanda

Kiingereza:

Furaha—Namna ya Kuipata

Mwimbieni Yehova Sifa (Ndogo)

From Kurukushetra to Armageddon Insight on the Scriptures

Furahia Milele Maisha Duniani!

Volumes 1970-74

Kiswahili:

Wakati Ujao Salama

Sasa Ndio Wakati wa Kumtii Mungu Kweli Kweli

Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia

● Vifaa Vipya Vinavyopatikana:

Kitabu-Mwaka 1990 —Kiingereza

Kalenda—1990 —Kifaransa

Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko —Kiswahili

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki