Matangazo
● Toleo la fasihi kwa Juni: Kuokolewa Kuingia Katika Dunia Mpya. Julai na Agosti: Yoyote ya broshua za kurasa 32, isipokuwa broshua Shule. Septemba: Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation?
● Mwangalizi msimamizi au mtu mwingine aliyegawiwa naye apaswa kukagua hesabu ya kundi mnamo Juni 1 au upesi iwezekanavyo baada ya hapo.
● Vichapo Vipya Vinavyopatikana:
Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia —Kiarabu