Matangazo
● Toleo la fasihi la Desemba: Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia au Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Januari na Februari: Kitabu chochote cha kurasa 192 kilichochapwa kabla ya 1980 kinachopatikana katika akiba ya kundi. Ikiwa kundi halina vitabu hivyo akibani ili vitolewe, kitabu Kuokolewa Kuingia Katika dunia Mpya chapasa kitolewe. Kitabu Kuokolewa chaweza kuagizwa kutoka kwa ofisi ya tawi.
● Mwangalizi msimamizi au mtu mwingine aliyeteuliwa naye apaswa kukagua hesabu za kundi Desemba 1 au upesi iwezekanavyo baada ya hapo.
● Makundi yapaswa kuanza kuagiza mabuku yaliyojalidiwa wa The Watchtower na Awake! kwa 1990 kwenye maagizo yao ya fasihi ya Desemba. Mabuku yaliyojalidiwa yatapatikana katika Kiingereza na Kifaransa.
● Vichapo Vinavyopatikana:
Mabuku yaliyojalidiwa ya Watchtower na Awake! 1989 —Kiingereza
● Vichapo Vinavyotarajiwa Karibuni:
Kalenda 1991 —Kiingereza
Kitabu-Mwaka 1990 —Kiswahili