Ripoti ya Utumishi ya Agosti
Wast. Wast. Wast. Wast.
Wahu. Saa Mag. Z.K. Maf. B.
K.
Pai. Pekee 165 137.3 29.6 45.5 6.8
Mapai. 525 80.1 15.6 23.1 3.9
Pai. Msa. 641 63.0 13.9 17.1 2.5
Wahu. 4,299 16.8 4.0 4.9 1.0
JUMLA 5,630 Kilele Kipya: 5,600
SU.
Pai. Msa. 15 63.7 16.9 29.5 5.1
Wahu. — 19.0 5.7 9.7 1.5
Kilele Kipya!
T.
Pai. Pekee 100 143.7 52.1 61.3 8.0
Mapai. 488 86.1 16.4 28.2 3.1
Pai. Msa. 405 63.4 19.4 18.0 2.2
Wahu. 3,526 15.3 2.8 4.8 0.6
JUMLA 4,519 Kilele Kipya: 3,619
U.
Pai. Pekee 39 123.3 116.5 56.0 8.5
Mapai. 75 81.3 35.9 26.7 5.4
Pai. Msa. 82 62.1 41.9 24.5 3.7
Wahu. 648 17.3 7.8 6.6 1.5
JUMLA 844 Kilele Kipya: 766
Ripoti ya mwaka wa 1990 yatuletea shangwe kuu na inatupa sababu za kushangilia. Zile nchi 9 zilizo chini ya tawi letu sasa zaripoti jumla ya wahubiri 14,191, ongezeko la asilimia 14 kupita mwaka jana. Mambo mengine yenye kutokeza ya ripoti hiyo iliyojumlishwa ni: 1,381 waliobatizwa; 40,944 waliokuwapo penye Ukumbusho; na wastani ya mapainia 2,760 shambani kila mwezi. Kukiwa na karibu mafunzo ya Biblia ya nyumbani 21,000 yanayoongozwa tunasali kwamba mwaka wa utumishi wa 1991 utakuwa pia wenye kuzaa matunda wengine wengi zaidi wakubalipo mwito “Njoo!”—Ufu. 22:17.